Naweza kufanya mazoezi muda mfupi baada ya tendo la ndoa?

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,281
6,696
Wakuu naomba kujuzwa kwani siku hizi nimejenga tabia ya kuamka
alfajiri na kukimbia kilomita 10 mpaka 20 na leo ni siku ya nne. Je iwapo
nimetoka kwenye tendo la ndoa muda huo naweza kuendelea na mazoezi
na nisiathirike kwa chochote. AHSANTENI.
 
Mimi siwezi kabisa...
Yaani nitoke kupiga kabao kangu kamoja Pyuuuuuuuuu (huwa siwezi kwenda zaidi ya moja)
Halafu niunge na zoezi hapo hapo?? Hapana siwezi.
Huwa natumia energy nyingi sana kumtomba mwanamke.
Mwana uko open kinoma asee...nimekubali show zako za kibabe!
 
Tendo la ndoa lenyewe ni zoezi tosha, unless kama umeenda kifo cha mende Yes.
 
Mimi siwezi kabisa...
Yaani nitoke kupiga kabao kangu kamoja Pyuuuuuuuuu (huwa siwezi kwenda zaidi ya moja)
Halafu niunge na zoezi hapo hapo?? Hapana siwezi.
Huwa natumia energy nyingi sana kumtomba mwanamke.
mkuu edit hapo mwishoni kabla mods hawajaamka
 
Ukitoka kufanya tendo.ni sawa na kukimbia.kilometa 3.kama ntakuwa sijakosea.na mapigo ya moyo yanakwenda kasi.na miguu kutetemeka.vipi ukiongezea na kukimbia.
Mkuu nimejaribu, kufanya mazoezi kwa kukimbia kilometa 20 kilichonikuta
ni kuhisi kizunguzungu, miguu kuwa mizito na maumivu pia ndio maana
nikauliza ili nijue ukweli.
 
Utazeeka mapema sana,,mwili una kiwango cha depreciation..Umeamkia kifuani unachotakiwa kufanya ni kuoga na mkeo ukae usubirie akuchemshie maziwa au supu upate recovery.
 
Usikimbie kuna siku utaanguka ghafla ufe. Maana bao moja tu ni saw a na km7. Halafu uongeze tens km10. Lazima ufe maana hakuna namna nyingine.
 
Mkuu nimejaribu, kufanya mazoezi kwa kukimbia kilometa 20 kilichonikuta
ni kuhisi kizunguzungu, miguu kuwa mizito na maumivu pia ndio maana
nikauliza ili nijue ukweli.
He.unaweza ukanyoooka.ndo maana mabondia uwa wanakatazwa kufanya mapenzi wakiwa wanajiandaa na mechi.kufanya mapenzi ni mazoezi toshaaaa.
 
Back
Top Bottom