Naweza kubadili course niliyochagua TCU?

karim kindole

Member
Aug 20, 2014
31
13
Rehma na amani ziwe juu yenu.

Guys nahitaji msaada wenu nimemaliza form six 2014 nimeapply TCU bt first selection nliomba logistics and transport management (NIT) but unfortunately nime'login nakukuta ile first selection ni procurement and logistics management(NIT) yaani sielewi hata imekuaje na nimeshindwa kubadilisha kwa sababu tayar deadline ishafika.

Swali langu ni Je! Kama nkichaguliwa iyo procurement naweza kubadili course kwenda logistics and transport management?

Please guys naombeni msaada wenu wa mawazo.
 
allow me mwenyewe nampango wakubadilisha frst choice yang but sielew nifanyeje
 
Ngoja wataalamu waje,bt nasikia inaprocess ndefu sana
 
Kama hizo kozi zote zipo chuo.hicho ulichoomba ukifika chuo tu unaandika barua ya kubadilisha ukitoa na sababu za kubadilisha,na kama zipo ndani ya faculty moja ndo inakuwa rahisi zaidi kubadili.Ukifika chuo kwenye ile Orientation week wanaeleza hayo yote jitahidi uwahi kufika chuo ukibahatika kuchaguliwa.Kila la kheri ndugu.
 
Rehma na amani ziwe juu yenu.

Guys nahitaji msaada wenu nimemaliza form six 2014 nimeapply TCU bt first selection nliomba logistics and transport management (NIT) but unfortunately nime'login nakukuta ile first selection ni procurement and logistics management(NIT) yaani sielewi hata imekuaje na nimeshindwa kubadilisha kwa sababu tayar deadline ishafika.

Swali langu ni Je! Kama nkichaguliwa iyo procurement naweza kubadili course kwenda logistics and transport management?

Please guys naombeni msaada wenu wa mawazo.

Inawezekana.
 
Kama hizo kozi zote zipo chuo.hicho ulichoomba ukifika chuo tu unaandika barua ya kubadilisha ukitoa na sababu za kubadilisha,na kama zipo ndani ya faculty moja ndo inakuwa rahisi zaidi kubadili.Ukifika chuo kwenye ile Orientation week wanaeleza hayo yote jitahidi uwahi kufika chuo ukibahatika kuchaguliwa.Kila la kheri ndugu.

Thnx ndugu yangu thnx kwa mawazo
 
Uwezekano Wa kubadil upo.
Jana nimeenda hapo nit kuchukua admission letter nikamuulza mhusika Wa admission akanijib inawezekana...... Cha kufanya aliniambia tarehe 29 kuwahi kabla ya SAA moja niwepo pale maelekezo yatatolewa.
Mwenyew nimechaguliwa procurement and logistics ntaka kuhamia logistics and transport
Mungu atusaidie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom