Naweza ku-upgrade laptop yangu?

tata mvoni

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
534
81
Nina laptop aina ya Samsung VM7000 Series yenye specification hizi.Intel Cerelon PROCESSOR 615Mhz,RAM 128MB.Je,naweza kubadilisha processor ili niweke japo ya 1.5Ghz? Au naweza kuongeza RAM hadi 512MB au 1Gb katika processor ya 615Mhz?.Nashukuru kwa atakayechangia
 
Yaonekana hiyo laptop in ya zamani kidogo...make latest brands zina Processoor speed ya at least 1.6 GHz na RAM ya kuanzia 1GB at least. nadhani hata performance ya hiyo laptop iko chini pia..Kwa kifupi tu kwa RAM unawezekana ku-upgrade to higher sizes, lakn processor inategemea na mpangilio wa pini za data katika board yake...unajua hizo processors za zamani hazikuwa na functionalities kubwa kwa hiyo hata baadhi ya pini zake hazina kazi...lakn processors mpya...zimekuwa enhanced kwa kuongezewa ufanisi na kazi kubwa zaidi . Unaweza kucheki specifications za kila processor hizo za 615Mhz na 1.5Ghz
 
Ss mkuu unataka kuibomoa hiyo machine ili isifanye kazi kabisa,kubadili processor za laptop ni very risk coz waweza badili isikubaliane na specs za mobo yako halafu inaonekana ni p3 hiyo.
 
Back
Top Bottom