swank
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 748
- 1,041
Natumaini nitapata mawazo mazuri kutoka kwenu!
Mimi ninaishi maeneo ya shule, naweza sema ndani ya shule fulani hapa mkoani! Shule hiyo ni ya wasichana na ina O'level na Advance! Sasa hapa kuna biashara za aina mbalimbali na naona zinatoka kweli maana wanafunzi ni wengi!
Sasa shida yangu nilikuwa naomba mnishauri biashara ya tofauti na hawa wenzangu iwe vitafunwa au vyovyote vile maana naona si vyema kuuza biashara ambayo imeshaanzishwa na mwingine!
Biashara zilizopo hapa ni half cake, maandazi, ice cream (zile za mia za kutengeneza), juice za Mo na karanga!
Karibu sana kwa maoni na ushauri wenu.
Naamini vitanijenga!!
Shukrani.