Naweza fanya biashara gani maeneo ya shule?

swank

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
748
1,041
Natumaini nitapata mawazo mazuri kutoka kwenu!
Mimi ninaishi maeneo ya shule, naweza sema ndani ya shule fulani hapa mkoani! Shule hiyo ni ya wasichana na ina O'level na Advance! Sasa hapa kuna biashara za aina mbalimbali na naona zinatoka kweli maana wanafunzi ni wengi!

Sasa shida yangu nilikuwa naomba mnishauri biashara ya tofauti na hawa wenzangu iwe vitafunwa au vyovyote vile maana naona si vyema kuuza biashara ambayo imeshaanzishwa na mwingine!

Biashara zilizopo hapa ni half cake, maandazi, ice cream (zile za mia za kutengeneza), juice za Mo na karanga!

Karibu sana kwa maoni na ushauri wenu.
Naamini vitanijenga!!

Shukrani.
 
Natumaini nitapata mawazo mazuri kutoka kwenu!

Mimi ninaishi maeneo ya shule, naweza sema ndani ya shule fulani hapa mkoani!

Shule hiyo ni ya wasichana na ina O'level na Advance! Sasa hapa kuna biashara za aina mbalimbali na naona zinatoka kweli maana wanafunzi ni wengi!

Sasa shida yangu nilikua naomba mnishauri biashara ya tofauti na hawa wenzangu iwe vitafunwa au vyovyote vile maana naona si vyema kuuza biashara ambayo imeshaanzashwa na mwingine!

Biashara zilizopo hapa ni half cake, maandazi, ice cream(zile za mia za kutengeneza), juice za Mo na karanga!

Karibu sana kwa maoni na ushauri wenu.
Naamini vitanijenga!!

Shukrani.
wauzie peddy na nguo za ndani org
 
Uza ukwaju
 
Fungua kaduka ka kuuza ped za aina mbali mbali utauza mpaka uchanganyikiwe trust me mdogo wangu kafanya hilo
 
Fungua kibanda cha kuuza Ped,powder,diary,soksi, hizo za kuanzia zingine utazipata kutokana na demand yao kadili watavyoulizia
 
Fungua kaduka ka kuuza ped za aina mbali mbali utauza mpaka uchanganyikiwe trust me mdogo wangu kafanya hilo
Shukrani mkuu! But duka si ndo mpaka nipate jengo?? Hakuna sehemu iliyo wazi ya kufanyia hivyo
 
Back
Top Bottom