Naweza badili rangi ya gari bila kupitia TRA na kwa Traffic?

bablon6

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
629
565
Eti kuna Tatizo lolote naweza Pata kama nikibadirisha gari rangi bila kupitia kwa traffic na TRA.
legacy_club_tz-20200921-0002.jpeg
 
Sasa mkuu unataka ubadilishe rangi wakati kadi ya gari yako imeandikwa rangi nyingine, siku ukiambiwa hiyo gari haina kadi umeiba utabisha??

Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app
Cha muhimu ni namba ya gari,au cheses namba sijui...hivi ukifunga ndoa ambaye mke wako wakati akiwa mwembamba au mweusi alafu siku akinawili na kuwa mnene white.. Watasema sio mkeo??
 
Back
Top Bottom