naweweseka mno | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naweweseka mno

Discussion in 'JF Doctor' started by sop sop, May 27, 2012.

 1. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 647
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  jaman naomben msaada wenu jaman naweweseka sana mpaka naboa watu bwenini nitumie dawa gan au husababishwa na nn il niweze kuacha?
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,204
  Likes Received: 3,995
  Trophy Points: 280
  @dogodogo91 wewe Una Miaka Mingapi? Mkristo au Muislam? naomba jibu kisha nikupe dawa
   
 3. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 647
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  mm nina 20yrs ni mkristo kamil
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,204
  Likes Received: 3,995
  Trophy Points: 280
  @dogodogo91 Chukua dawa inayoitwa mvuje, halititi na kibiriti upele zitwange kisha roweka katika maji kwa muda wa saa kisha ujipake mwilini wakati unapo lala kila usiku. Kisha soma Biblia Aya hii kisha lala usingizi hutaweweseka tena. Mathayo, Chapter 6:10-11-12-13-

  Baba yetu uliye mbinguni: Jina lako litukuzwe.

  [SUP]6:10[/SUP] Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni.

  [SUP]6:11[/SUP] Utupe leo chakula chetu tunachohitaji.

  [SUP]6:12[/SUP] Utusamehe makosa yetu, kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea.

  [SUP]6:13[/SUP] Usitutie katika majaribu, lakini utuokoe na yule Mwovu.shetani na utukufu, hata milele. Amina.

  Sema hii dua mara 3 kisha lala usizungumze na mtu tena wakati unapo lala omba taratibu huku umefumba macho kisha lala usingizi hutoota tena inshallah. Tumia kama wiki moja kisha unipe feedback.
   
 5. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Check na hospital, kuna aina nyingi ugonjwa wa kifafa, na wala si kuanguka tuu ndio waseme unaumwa kifafa.
  Unaweza kugoogle simple atonic epileptic pia ukacheck.
   
Loading...