britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Unakosea sana kusema kwamba Nyerere hakufanya jambo ninyi inabidi kueleweshwa
1.Nyerere kapokea shule chini ya 20 za sekondari na mpaka anastaafu aneacha shule 200+
2. Nyerere kakuta wasiojua kusoma na kuandika katika 100 walikuwa 96, lakin mpaka anastaafu walikuwa 42 tu Kati ya mia
3. Nyerere hakukuta bwawa hata moja la kuzalisha umeme, lakin mpaka anaondoka mabwawa yote unayojua zaid ya 10 ni ya Nyerere na mpaka sasa hamjaongeza lolote
4. Nyerere hakukuta mfumo wa utawala wetu wa kujitawala wenyewe na kuheshimu muda wa utawala mpaka sasa inafuatwa
5.Nyerere amekuta hatuna benki kuu wala shiling yetu lakin mwaka 1965 kuputia B.O.T act ikaanzishwa benki yetu kuu na kuanzisha shilling yetu kutoka east Africa currency
6. Nyerere hajatukuta na Reli ya Tazara imewekwa tena ya kisasa kwa kipindi hicho
7. Nyerere hakukuta chuo chochote cha elimu ya juu, akaweka vyuo kama SUA, UDSM, IFM na zaid
8. Nyerere hakukuta ndege za taifa la Tanzania au Tanganyika, lakin mpaka anastaafu tulikuwa na dege 9 zinazoweza kuruka kwenda popote,
9. Nyerere hakukuta wasomi wa kutosha kwanza akaanza kuwaandaa wasomi wa kuweza kushirikiana naye,
10. Vivuko kama cha kwenda kigamboni kile kilichozama mwaka 1974 na kingine kilichopelekwa na jeshi vyote vililetwa na Nyerere,
11. Viwanda hatukuwa navyo, lakin anastaafu tuna viwanda 401, mpaka cha radio ya National, na Cha baskeli Swala
Hatukatai mapungufu yake lakin kazi kaifanya ambayo mmekuja kuharibu ninyi kina mkapa na kikwete
12. Napata tabu sana pale Nyerere anavyolinganishwa na watu wasiokuwa na mchango katika Tanzania na bara la Africa kwa ujumla,
13. Nyerere kajenga watanzania kuwa pamoja na kuheshimiana, mbali zaid barabara unazoona 80% zimetengenezwa wakati bwana huyo alikuwa rais, japo hazikuwa Tarmac ila ziliunganisha wilaya na wilaya, mikoa na mikoa,
14. Nyerere ambaye aliwayumbisha mataifa makubwa Marekani, China na Urusi,
15. Viwanja vyote vya mpira ambavyo CCM wamejimilikisha kwa ujanja nchi nzima ni Nyerere kavijenga
16 Hitachi yetu ya crude oil pale kigamboni ambayo inamilikiwa na Tanzania,Zambia na Malawi ni nguvu ya mzee huyo inatumika hadi Leo hii (TIPER)
anasema Eyce, Kwa maoni yangu binafsi bila ya kuegemea upande wowote...
Hata mimi ninaweza kuwa na baadhi ya tabia kama za Nyerere lakini haihalalishi kunilinganisha naye..
Magufuli hayupo karibu hata kidogo na uwezo binafsi wala mambo aliyoyafanya Nyerere
Nyerere anatofautiana sana na jamaa zenu japo wanaeza kufanana viashiria kibinadamu tu.. Na sehemu kubwa ni zifuatazo
1. Diplomasia
2. Filosofia
3. Hali ya ubinafsi
4. Upendo juu ya nchi
5. Uendelezaji wa umoja pasipo kujali makabila , Kanda au dini ya mtu..
Mwisho wa siku .hao jamaa zenu na Nyerere ni INCOMPARABLE