Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,217
- 125,313
TANESCO nazo zingekua nyingi kama MITANDAO YA SIMU hapa TZ? Matangazo yao na promotion yangekuwa hivi;
1.Hamia TANESCO SHUPAVU hakuna katizo la umeme, huduma bomba masaa 24
2.Tumia TANESCO POWER upate megawati za bure kila siku saa nne usiku mpaka kumi na mbili asubuhi...
3.Jiunge na TANESCO BOMBA, lipia bill yako miezi mitatu upate mmoja BUREEEE!!!!!
4.Acha Ulofa Tumia TANESCO MAHIRI, hakuna katizo la umeme, jiunge na Extreme Megawati tuma neno XMEGAWATI kwenda no 15056 upate MEGAWATI za bure wiki nzima, Nguzo za Tanesco unapewa bure na kubwa kuliko utaunganishwa na laini ya jeshini hakuna katizo la umeme eva eva again...!!
5.Kopa TANESCO leo na urudishe baada ya kutumia Umeme wako kwa kubonyeza kwenye LUKU yako *140*04#
6.Jiunge na KIPORO kwa siku za week end upate unit 1 kwa tshs 50 tu ofa hii ni hadi sikukuu za mei mosihapo ndo ujue kwamba hata nyumba ina PAA lakini haijawahi kuruka angani