Nawaza: Walimu wenye diploma na grade A wangepunguzwa kupisha digrii

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
Nimesikia kwamba walimu wa masomo ya sanaa hawataajiriwa. Badala ya kuwaacha watu na digrii zao mtaani, kwanini walimu wa diploma na grade A wasipunguzwe kupata nafasi ya wenye digrii?
 
nimesikia kwamba walimu wa masomo ya sanaa hawataajiriwa. badala ya kuwaacha watu na digrii zao mtaani, kwanini walimu wa diploma na grade A wasipunguzwe kupata nafasi ya wenye digrii?.
Alafu time kula kwako tukipunguzwa
 
Kwa hiyo were na kadigrii chako GPA ya 2.0 umeona ni was muhimu kuliko hiyo Mwalimu wa diploma mwenye uzoefu wa miaka 10.
haipatani na akili kumuacha mwenye digrii na kumkumbatia diploma na grade A kisa uzoefu. uzoefu wa kidiploma na kigrade A. dunia itatushangaa.
 
We

We bwege iko gentlemen cha kukariri kanakudanganya sota kwanza mtaan akili itakukaa sawa,kama VP nione naanzisha day care uje uchukue maisha
huoni elimu itakuwa sana digrii wakianza kufundisha kuanzia chekechea?
 
Back
Top Bottom