Nawaza tu - Siku atakayotua Dar Mh. Tundu Lisu!

Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,796
12,239
1. Hali ya ulinzi utakaokuwepo airport!
2. Idadi ya viongozi watakaokuwepo airport!
3. Idadi ya wananchi watakaokuwepo airport!
4. Mabomu ya machozi yatakayopigwa!
5. Idadi ya watu watakaokuwepo na kujeruhiwa!

Bila shaka yo yote kituo cha kwanza atakachopelekwa kutoka airport ni gereza la Segerea!
 
Wasiojulikana sasa watatumia AK 47 na V8 Land cruiser
 
ATARUDI KAMPENI ZIKI RUHUSIWA, MAANA KIPINDI HICHO HAKUNA WA KUZIWIA...MARK MY WORD HII NDO NJIA PEKEE YA KUWEZA KUYUMBISHA UCHAGUZI
 
Kwa namna mdindifu alivyo na wivu wa kufunikwa atakataza mapokezi atasahau watu watapanga foleni njiani ili tu angalau wampungie mkono Tundu na nyumbani kwanke sipati picha watu watakavyoo jaa.
 
Back
Top Bottom