Mlalahoi Mlalahai
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 399
- 146
Hivi umehangaika muda mrefu kutafuta kazi, baadaye umepata kwa tabu sana tena serikalini ile unaanza tu inatokea bahati mbaya anko Magu anakutumbua au umepata private ile umeanza tu baada ya miezi kadhaa bahati mbaya kunatokea ishu ambayo inabidi tu utumbuliwe kwa jinsi ambavyo hizi kazi tunazihangaikia unaweza andamana bila bango mkuu