Elections 2010 Nawaza tu: JK kumteua Zitto kuwa waziri....

Status
Not open for further replies.

TechMaro

Senior Member
Feb 8, 2008
102
0
Hapa nawaza tu...ni vitu ambavyo vinawezekana kufanyika kwani kwa sasa lengo la CCM litakuwa kupunguza nguvu ya upinzani na kuwagawa.

Hivi ikitokea JK akampa Zitto au mmojawapo wa wabunge machachari wa Chadema (nikiangalia hapa naona uwezekano uko kwa Zitto zaidi) uwaziri, itakuwaje? Maswali ninayofikiria ni je rais anaruhusiwa kumchagua mpinzani?? kama anaweza, akifanya hivyo mwaka huu, atakayechaguliwa akubali au asikubali?? na je akikubali nini impact yake kwa upinzani bungeni na kwingineko???

Naona ni muhimu kuwaza kabla hayajatokea, tusiwa-underestimate CCM, they can be very strategic when they need to.....
 
Kaka wewe mawazo yako nayaheshimu maana naona yana ukweli mkubwa. Maaana CCM watahakikisha candiate wao Rose Migiro anashinda tena.
 
Sheria haimkatazi na atakayepewa nafasi hiyo akubali akiweka mbele maslahi ya taifa hili.Kwani itampa nafasi ya kuingia kwenye Cabinet ambapo maamuzi maguma ya serekali yanajadiliwana kuamuliwa ataujua zaidi upuuzi wao na mipango yao ya kutudidimiza chini ya mwavuli wa maisha bora kwa kila Mtanzania.
 
Akishajua then what?....by the time anamaliza kazi hiyo ni 2015, hana cha kufanya kwenye kambi ya upinzani!
In case mtu wa upinzani (eg zitto) akichaguliwa na Rais, asikatae nafasi hiyo, itakuwa ni ukosefu wa nidhamu...Nia yetu si uadui parse...ni kurekebisha palipovunjika!..Mimi nina 'bank kwenye hazina ya wabunge tulio nao safari hii, kwakweli ni moto wakuotea mbali...Zamani zile tulikuwa tuna hofu sana maana zitto alikuwa kama mboni ya jicho bungeni, na kweli ingetugharimu sana angepewa uwaziri..
Kwasasa JK akitaka unafuu bungeni amwateue zitto, Lissu, Mdee, Mnyika, Sugu, na makamanda wengine wote wa chadema wawe mawaziri , at least hapo atasalimika!
 
Sheria haimkatazi na atakayepewa nafasi hiyo akubali akiweka mbele maslahi ya taifa hili.Kwani itampa nafasi ya kuingia kwenye Cabinet ambapo maamuzi maguma ya serekali yanajadiliwana kuamuliwa ataujua zaidi upuuzi wao na mipango yao ya kutudidimiza chini ya mwavuli wa maisha bora kwa kila Mtanzania.

Nimeipata point yako mkubwa, anaweza kutumika kwenye kuhakikisha cabinet inafanya yaliyo sahihi. Kuna mengine mazuri yanaweza kutokea maana anaweza kuwaonyesha uongozi mbadala etc etc. Naamini yako mengi mazuri.

Ila je, nadhani swali langu kuu ni kuhusu impact yake kwenye upinzani na Chadema kwa ujumla. Haiwezi ikawa ni step mojawapo ya mgawanyiko wa upinzani/Chadema??
 
Mkuu Maro, ni vyema uelewe kuwa ktk siasa kuna mawili you either with us or you are not with us! kwa hiyo mh.Zitto akiingia kwenye baraza la Mkwere haitaathiri chochote kwenye upinzani; kwa maana kwamba faida itakuwa kubwa. Matendo na maamuzi yake ndio yatakayopima uadilifu na uaminifu wake kwa chama chake, kumbuka siku hizi hakuna siri kule. Mengine siwezi weka hapa....
 
Haiwezekani kwa sasa kwakuwa katiba ya tanzania haijaruhusu ki2 kama hicho labda ibadilishwe ndio itawezekana
 
MKwere anajua Zitto atauza sana hivyo kumteua ni ndoto za alinacha
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom