NAWAZA KWA SAUTI, yawezekana kwamba wanaomzunguka Mh Rais ndio tatizo kubwa katika nchi yetu? Rais hana tatizo!

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,096
2,000
Najaribu kufikiria,Rais wetu wakati akiwa Waziri katika serakali zilizowahi kupita hakua na maadui hata kidogo. Hakua na maadui serikalini wala upinzani, Mzee wetu alikua akitekeleza majukumu mengi na yawezekana ndio kipindi alikua na marafiki wengi kuliko wajati wowote ule.

Nataka kusema nini, baada ya kuingia kwenye kiti ameteua serikali iliyojaa watu wengi ambao wao hawakupewa nsfasi kabisa awamu zilizopita ima kwa sababu ya kutomudu majukumu, visasi au kwa aina flani ya tabia zao. Hawa watu inawezekana kwa sasa wamepewa mamlaka na wameingia kwa hasira na visasi wakiwa na majeraha ya wamu zilizizopita, hawasemi ukweli kulisaidia taifa badala yake wao wanaangalia fursa walitonayo kwa sababu nao leo sana nafasi. Hawa watu wanaweza kutuingiza katika matatizo makubwa sana.

Haiwezekani mwanazuoni mmoja ambaye kwa sasa ni afisa mkubwa katika awamu hii, wakati wa awamu ya NNE alizunguka nchi akisema kua katiba mpya haiepukiki kwa namna yeyote ile, leo hii anasema hakuna haja ya katiba mpya? Tena kwa sasa ndiye msimamizi wa himaya ya kurekebisha na kutafsiri katiba ya nchi anakataa kata Kata. Huyu mtu sio mzuri na inawezekana nae ndiye kinara wa sasa kumshauri mkuu aongeze miaka miwili kufikia saba kwenye muhula wake badala ya miaka mitano.

Nataka kuchelea kumlaumu Rais wetu badala yake niwageuzie kibao watendaji wake wanaomzunguka, yawezekana mambo kutokukaa sawa wakati mwingine ni kushuriwa tofauti na hawa watendaji wanaomzunguka.

Ningeshauri kabia tutazame hawa watendaji watoa ushauri huenda ndio chanzo cha matatizo mengi. Mbona Mh Mkuu alikua kiongozi awamu zilizopita hakulaumiwa sana?Why now?
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
24,791

Mahanju, Umesoma political science? political economy of capitalism/socialism? Umesoma education psychology/philosphy? na vitu kama hivyo?
 
MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,096
2,000
Mahanju, Umesoma political science? political economy of capitalism/socialism? Umesoma education psychology/philosphy? na vitu kama hivyo?
Unataka kuniambia nini mimi pamoja na wanajukwaa wengine hapa?Hizo ilimu na hajo yangu zinashabihiana vipi!
 
Titans

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,461
2,000
Money, Power, Respect what do you like?hii ngoma ilipigwa na The L.O.X back in the day.
 
Jibala

JF-Expert Member
Jun 13, 2010
479
500
Mfano pale nchi imepania kujenga viwanda, halafu zinatakiwa mali ghafi toka nje, ushuru wa bandarini ni mara tatu ya thamani ya vifaa, hapo kabla mtu hajafanya chochote kile hesabu inakupa picha isio na faida, na kumbuka kiwanda kinahitaji mali ghafi mara kwa mara.
 
Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
8,764
2,000
Kama kuzungukwa na hao watu ndio kunaleta tatizo, basi mwenye tatizo ni raisi mwenyewe. Kwa nini anakubali kuzungukwa na watu hao?

Wee unaona mtu ananuka kinyeji unakubali kumkumbatia - huenda basi una tatizo la akili kuliko huyo anaenuka kinyesi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom