Nawaza kwa sauti: Kwa hiyo hili la bandari Zitto angekuwa kiongozi wa nchi

Mathayo Fungo

JF-Expert Member
Nov 13, 2018
319
510
1.Angeshasaini fasta Wachina waanze ujenzi wa Bandari na kuzuia upanuzi wa Bandari zote katika ukanda wa Tanzania na kuua ya Dar, Tanga, Mtwara, Mafia etc?

2.Angeshasaini Wachina wajenge viwanda na kujimilikisha eneo la viwanda Bagamoyo mpaka mwaka watakaoamua wenyewe kutangaza kuwa wamepata faida?

3.Angeshasaini mkataba Serikali isihusike na kampuni zote zitakazowekeza kwenye eneo la viwanda Bagamoyo na uamuzi na umiliki uwe kwa Wachina kwa miaka 99?

4.Angeshasaini fasta mkataba unaowapa wachina haki zote za kupanga bei, kusimamia mapato, kuandaa hesabu na kila kitu wakiwa wao na kuweka Bendera yao kwenye Bandari ya Bagamoyo?

Hatari sana (in Sheikh Kipozeo's voice).
zitto.JPG
[/SIZE][/B]
 
Tafuta document uione usiongee hewani tu, uliyoandika hapo mengi ya kutunga tu, siasa na uchumi, uchumi unanguvu kuliko siasa
 
Na Ndugai angefanyaje? Akili zenu ndio zimesababisha ndoto ya uchumi wa viwanda kugeuka ya utekaji.
 
View attachment 1097788[/SIZE][/B]
Zitto ni mpiga debe,nilimdharau kitambo,issue ya Buzwagi ndipo alionja utamu wa pesa ya hongo
 
Hizo ni sababu za uongo mbona kwenye orodha ya mambo ambayo serikali ya Tanzania imetofautiana na wawekezaji hakuna hayo yanayoandikwa huku ya kusema bandari zingine zisiendelezwe au yanageuzwa masharti ya mkopo wa uboreshaji wa bandari ya Dar kuwa isijengwe Bandari nyingine isije Bandari ya Dar ikashindwa kulipa mkopo kutoka WB. Kwahiyo watu wanatumia nguvu nyingi kupotosha Bandari ya Bagamoyo isijengwe. Natamani Magufuli aseme ijengwe halafu nisikia hawa wanapotosha wanasemaje. Nina imani Rais atasema ijengwe ni jambo la wakati tu.
 
Tuonyeshe wewe hizo documents kama unapingana na aliyoyaandika huyo ndugu! Kama huna counter documents kumjibu huyu ndugu basi utakuwa unajishushia hadhi. Mkwere alitaka kuwapa buree byoo Kwa wachina kama moja ya Radhika Kwa kumtoa ridhimoko ktk mdomo wa Mamba! Magufuli kwa hili namuunga mkono Kwa 100%.
Tafuta document uione usiongee hewani tu, uliyoandika hapo mengi ya kutunga tu, siasa na uchumi, uchumi unanguvu kuliko siasa
 
Tafuta Andiko la Zitto kuhusu uwekezaji huu, maana kachambua hoja zake vyema sana. Kisha njoo na hoja zako tujadili
 
Na Ndugai angefanyaje? Akili zenu ndio zimesababisha ndoto ya uchumi wa viwanda kugeuka ya utekaji.
hahaha na Ndugai kaingiaje hapa. . .naona unajaribu ku-diverge. Subject hapa nia bwana Zitto Zuberi Kabwe. Y Ndugai subiria uzi wake 😂😂
 
ZITTO fala tu, na ACT YAKE KWENYE FLASH ......!

Atuachie nchi yetu, aende China akaishi huko, mbona mwenzake LISU, KASHA ZIBWA DOMO.....
 
1.Angeshasaini fasta Wachina waanze ujenzi wa Bandari na kuzuia upanuzi wa Bandari zote katika ukanda wa Tanzania na kuua ya Dar, Tanga, Mtwara, Mafia etc?

2.Angeshasaini Wachina wajenge viwanda na kujimilikisha eneo la viwanda Bagamoyo mpaka mwaka watakaoamua wenyewe kutangaza kuwa wamepata faida?

3.Angeshasaini mkataba Serikali isihusike na kampuni zote zitakazowekeza kwenye eneo la viwanda Bagamoyo na uamuzi na umiliki uwe kwa Wachina kwa miaka 99?

4.Angeshasaini fasta mkataba unaowapa wachina haki zote za kupanga bei, kusimamia mapato, kuandaa hesabu na kila kitu wakiwa wao na kuweka Bendera yao kwenye Bandari ya Bagamoyo?

Hatari sana (in Sheikh Kipozeo's voice).
View attachment 1097788[/SIZE][/B]

Upanuzi ni kufunga crane 2, we unajua wanaochimba bwawa wameshatia mpunga kibindoni ndio wakanunue vifaa wakati wakandarasi wa bongo kulipwa mpaka waje na bibi zao???!!!!
Kama unajenga kitu serious huko Mtwara na lindi si itakuwa ni extension tu.

Midege mnapeleka cash halafu watu ndio wanaanza kuunda halafu ndio mnaogopa kujengewa bandari.
 
Ndege + bwawa=trillion 5.

Bandari=23 trillion

Hii si pesa ya ice cream au kisheti, tukiweka uamuzi wa kibazazi kama wa zitto, tunaiuza nchi kwenye mnada wa adhara.
 
Alosema isijengwe ndo huyo huyo unaetamani aseme ijengwe

Back
Top Bottom