Nawaza kuoa mwanamke Bikira, labda takuwa na amani.

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,334
Ndugu zangu, hii nchi yetu sijui imejengwa kwenye maadili gani? Yaani kukosekana kwa mafunzo ya jando na unyago wanawake hata wapate mwanaume wa aina gani lakini wanachepuka tu.

Una Lea ipasavyo. Unapiga mzigo ipasavyo, lakini kila siku wanaume wanalia.

Nashauri taifa liwe na mfumo wa mabikira ili mtu atakaye mbikiri ndo anakuwa mke wake. Labda ulagai utapungua kwenye mahusiano.

Ukioa mwanamke mwenye mtoto unachapiwa na mwenye mtoto n.k

Nawasilisha.
 
Mods chunguzeni IP ya Deo usikute mtu mwingine ndio anatumia hii ID, Maana mada zake ni kama mtu aliyechanganyikiwa.
 
Ndugu zangu, hii nchi yetu sijui imejengwa kwenye maadili gani? Yaani kukosekana kwa mafunzo ya jando na unyago wanawake hata wapate mwanaume wa aina gani lakini wanachepuka tu.

Una Lea ipasavyo. Unapiga mzigo ipasavyo, lakini kila siku wanaume wanalia.

Nashauri taifa liwe na mfumo wa mabikira ili mtu atakaye mbikiri ndo anakuwa mke wake. Labda ulagai utapungua kwenye mahusiano.

Ukioa mwanamke mwenye mtoto unachapiwa na mwenye mtoto n.k

Nawasilisha.
Deo seriously you are sick! Unahitaji kuonana na daktari bingwa wa magonjwa ya akili
NB: sijakudhihaki lakini kwa trending ya post zako kuna shida mahali
 
threads za huyu jamaa few weeks past ni tofauti na wala hakiendani na hichi alichokiandika.
At least naweza kuona tatizo la yale aliyojinasibu kuyasimamia na kileee cheo alichojipa
 
Deo seriously you are sick! Unahitaji kuonana na daktari bingwa wa magonjwa ya akili
NB: sijakudhihaki lakini kwa trending ya post zako kuna shida mahali
Mkuu kwani wewe hautaki bikira...ha ha haaa
Jamani ina maana dunia imebongonyoka kiasi anayetafuta bikira kuonekana kichaa!!
 
Deo umeongea la maana sana maana waliokupinga ni wanawake waliotolewa bikira wakiwa wapo shule
 
Mshana Jr. fanya mambo yako si unajua huyu kijana anaishi jirani na mzee wa busara?wameshafanyia yao
 
Back
Top Bottom