Nawaza huyu rais wetu alikuwa wapi 2005-2010 jamani?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Biblia inasema kilajambo kweli na wakati wake ukisoma na kuangalia yanayotokea utaelewa namaanisha nini. Natamani Angegombea 2005/2010.

Hatuna jinsi tuzidi kumwombea Mungu mafanikio na hasa katiba mpya.
 
Alimwachia Mh. Edward Lowasa na timu yake ya ushindi nani miongoni mwao atuongoze,nasi tukakubali kwa hiari yetu.
 
Back
Top Bottom