Kwan harusi mkuu INA gharama sawa na usafiri?, mm naona ndoa INA umuhimu ila sio harusi. Sasa ukishafunga ndoa kisha mkewe aendelee kupewa lift na wenzio utajisikiaje? Acha ufahari usio na maana funga ndoa achana na kulisha matumbo ya watu ambao sometimes hao hao hawana shukran( harusi) kisha nunua usafiriWakuu,
Nipo Dilema vyote nahitaji na vyote vina umuhimu mkubwa kwa sasa.
Ushauri wako tafadhali.
Kwani hizo hela ulikuwa unazichanga kwa madhumuni gani?Wakuu,
Nipo Dilema vyote nahitaji na vyote vina umuhimu mkubwa kwa sasa.
Ushauri wako tafadhali.
Naunga mkono hoja kwa 100%Kaweke heshima bar ww.