Nawaunga mkono BAKWATA "NAPINGA SENSA MPAKA TUJUE IDADI YA WAKATOLIKI TANZANIA"

Status
Not open for further replies.
Mmie nimeamua rasmi kuungana na bakwata kwa kupinga sensa mpaka kipengele cha dini kiingizwe kwa sababu nazani ni haki yangu kama wengine kuamua hivyo ili na sisi tujue tuko wangapi. baada ya hapo tuweze kujua tunahitaji kuongeza mashule mangapi na mahosipitali ya kuwatibu wakatoliki na watanzania wote kwa ujumla
huyu naona ameamua kujikipua
 
Nawaunga mkono BAKWATA "NAPINGA SENSA MPAKA TUJUE IDADI YA WAKATOLIKI TANZANIA"

Kumbe shida yenu ni hiyo?? Sasa si mngesema mapema yanini kuzunguka zunguka....Tunaopinga hatuoni matumizi ya hizo data kwani nchi yetu ni Secular State na hatupangi na hata mkifurama hatutokaa KAMWE tupange mipango kwa kuzingatia dini.....nendeni zanzibar pengine mtafanikiwa.

Nashauri mgomee pia vitambulisho vya taifa na Mitihani na kwenda shule muendelee kubaki kama mlivyo isipokuwa wachache wenu werevu wanaojua wanachokifanya tofauti na nyie msiojua mnachokifanya.

Hata mkiwa wengi zaidi ya wakristo inakusaidia nini kamwewe binafsi?? Ulidhani ukubwa wa pua ni wingi wa kamasi? Think Loud wewe.
 
Mmie nimeamua rasmi kuungana na bakwata kwa kupinga sensa mpaka kipengele cha dini kiingizwe kwa sababu nazani ni haki yangu kama wengine kuamua hivyo ili na sisi tujue tuko wangapi. baada ya hapo tuweze kujua tunahitaji kuongeza mashule mangapi na mahosipitali ya kuwatibu wakatoliki na watanzania wote kwa ujumla

Nyee wakuonewa na kanisa mbona mnajidhalilisha sana kila siku ni kulalamika tu hamna kazi za kufanya?.hapa siyo bure naona dili la kukata mkonge tanga limefumuka hamuwezi kung'ang'ania umanamba bure.kila sku umanamba umanamba naona kunahaja ya kuwapeleka milembe ili mkapimwe akili zenu.maana tunaweza tukadhani wenzetu wazima kumbe_______
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom