Nawauliza watanzania wenzangu! Hivi wabunge wa CCM wana matatizo gani katika akili zao?

...si kazi yao kupambana na serikali, wamefanya kuwa ni kazi ya cDm. Wao wapo kutetea chama bungeni bila kujua wanapoteza mtaani.
 
Wabunge wengi wa CCM wamo bungeni kupitia Mlingotini na wala sio kwa merits!, wanafanya mambo kwa maelekezo ya watawala na wakuu wa chama chao ambao nao generation gap inawasumbua! Hivyo tusitarajie mapya kutoka kwa wabunge wa CCM, wao chama ndiyo kila kitu! na siyo masilahi ya nchi!
 
Back
Top Bottom