Supastar
Senior Member
- Mar 19, 2019
- 110
- 94
Nina swali la kizushi tuu kidogo,Moja ya matukio ambayo wanawake hukumbuka sana kwenye mapenzi ni kitendo cha kutoa bikra na inasemekana kuwa mwanaume aliyemtoa bikra hukumbukwa mno
Na pia mwanamke anapokuwa kazaa na mwanaume then wakatengana ni rahisi kurudiana ama kupasha viporo .
Sasa naomba maoni yenu nani ana nguvu zaidi kwa mwanamke kati ya mtu aliyemtoa bikra na uliyemzalisha?
Sent using Jamii Forums mobile app