Sigara Kali JF-Expert Member May 28, 2017 3,623 8,428 Aug 23, 2019 #1 Ni kweli Wadada/Wanawake mnatufanyia hivi sie mabaga?
T Tehamaleo Member Aug 14, 2019 33 23 Aug 23, 2019 #2 Ni viumbe vigumu kuvielewa,ulivielewa ujue upon karibu kufa! Dada mmoja aliwahi kunambia "unajua sisi ndo tuliongea na nyoka"mwisho wa kunukuu!
Ni viumbe vigumu kuvielewa,ulivielewa ujue upon karibu kufa! Dada mmoja aliwahi kunambia "unajua sisi ndo tuliongea na nyoka"mwisho wa kunukuu!
KOISO Senior Member Aug 15, 2019 111 346 Aug 23, 2019 #3 Kama ilivyoo Benderaa Mkuuu hubadili mwelekeo kulingana na upepoo ndivyaa wadada walivyoo
Ethical Ninja CEH JF-Expert Member May 16, 2011 3,695 5,032 Aug 23, 2019 #4 Hao sio wanawake ( woman ), hao itakuwa mademu au slay queen
Equation x JF-Expert Member Sep 3, 2017 29,174 39,936 Aug 23, 2019 #5 Siku hizi kupendwa na hamnazo ni sawa na kujilipua kwenye moto wa petroli