Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,331
- 14,259
Na vipi kwa sisi ambao hatupendi hayo mambo???.Pazuri sana pale!madem wakali!!na ile Baridi noma sana!!!
Na vipi kwa sisi ambao hatupendi hayo mambo???.Pazuri sana pale!madem wakali!!na ile Baridi noma sana!!!
Ni kwasababu watu wake Wana bidii ya Kupima Afya zao.mkoa unao ongoza kwa UKIMWI18
Na mie ndio mwenyekiti, uliza unataka niniNakumbuka nyuma ya duka la Widambe palikuwa na mtaa unaitwa mtaa wa Dhambi ( Dhambi st) ambao ulisheheni vilabu na bar
Jamani huu mtaa bado upo?
Kamwene!
.....jirani na Sangamela kuna baa inaitwa Tale, ni hatari sana....Sangamela bar hapo Chaugingi bado ipo?
Ila wabena bwana uchawi wao, umalaya wao, uasherati wao, pombe wao aiseeeNakumbuka nyuma ya duka la Widambe palikuwa na mtaa unaitwa mtaa wa Dhambi ( Dhambi st) ambao ulisheheni vilabu na bar
Jamani huu mtaa bado upo?
Kamwene!
Haya Mambo ya huku Buza na huko yameshafika au watu wa huko hawashiriki hii dhambi?Na mie ndio mwenyekiti, uliza unataka nini
Nitakuja kuwatembelea bwashee!.....jirani na Sangamela kuna baa inaitwa Tale, ni hatari sana....