Nawauliza wakazi wa Njombe ule mtaa wa Dhambi bado upo?

Ile mitaa gonjwa lipo waziwazi na guest bubu za kutosha pale kwa sisi watulivu mitaa hiyo haifai kama umejipanga unapumzika Fm hotel au ile hotel ya Mji mwema jina nimelisahau
Ilikuwepo Chani hotel nasikia ameinunua Mwanyika!
 
Apa nimechanganya mafail kaka, nkajua anazungumziwa mzee Ngailo aliyekuwa anamiliki Monica Motel.
Mzee Kyando alifariki kawaida lile jengo la hotel saivi lipo chini ya Lutheran na pia sio hotel tena wameweka Chuo pale
Hiyo Monica motel ipo Chaugingi?
 
Back
Top Bottom