Nawauliza mabinti, mnapendelea wa aina gani kati ya hizi?

No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,663
7,774
Kati sisi MADOMO ZEGE na wale wenzetu wengine wa TIT FOR TAT! Huwa mnapenda wanaume wa aina gani? Sina mengi Jamani nimeota Nimeulizwa ndotoni hili swali,Narudi zangu kulala.....
 
As long as atatoa muamala mkubwa kuliko mwenzie, who cares if he z domo zege or tit for tat???
 
Back
Top Bottom