Nawatakieni mitihani miema nyote wanaUDSM wenzangu

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
Leo undergraduates wote tunategemea kuanza mitihani ya kumalizia muhula wa kwanza. Wanajf nawaombeni mtukumbuke kwa maombi.Mwisho nawatakieni wenzangu wote mitihani miema japo 2nafanya kwa huzuni bila wenzetu waliofukuzwa kwa kutetea haki ya watanzania.
AHSANTENI.
 
Leo wanasayansi wameanza kwa first year,mie mziki alhamisi ni 2*3,nice time
 
Mkandala kabebesha watu 103.Da pole yao ndo maisha hayo.
Mi nimefanya mtihani wangu wa kwanza leo.Da ulikuwa mzuri sana.
Vipi wenzangu?
 
Leo undergraduates wote tunategemea kuanza mitihani ya kumalizia muhula wa kwanza. Wanajf nawaombeni mtukumbuke kwa maombi.Mwisho nawatakieni wenzangu wote mitihani miema japo 2nafanya kwa huzuni bila wenzetu waliofukuzwa kwa kutetea haki ya watanzania.
AHSANTENI.

Vichwa panzi yaani mmekubari kufanya paper huku wenzenu wako nje ya Chuo,shame on you educated barbarians.
 
mhh 2fanyaje sasa, manake kwa hali ilipofikia huwezi kuibuka peke yako.Nawe utaondoka.
 
Issue sio how many are backing you!Hapa ni kusimamia ukweli na haki.Sasa nyie kama mnashindwa kuwatetea wasomi wenzenu je mtaweza kututetea sisi wanyonge dhidi ya dhuruma ya wenye madaraka na mamlaka?Naona ata kodi yetu mnakula bure kupitia HESLB.
 
Mkuu umesahau hicho ni chuo cha vilaza?!
POPOOOOO!
 
Back
Top Bottom