Nawatakia tendo la ndoa jema wote wenye ndoa usiku wa Leo!

moniccca

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
2,383
3,285
Nawatakia tendo la ndoa jema wote wenye ndoa usiku wa leo. Usisahau kuoga na kupiga mswaki vyema.

Usikurupuke maandalizi ni muhimu.

Usipanie sana relux

Wenye magari ya kusuma msikate tamaa.

Zoezi jema!
.........

Angalizo

kuweni makini na mimba zisizo tarajiwa na kibaridi hichi mtashangaa clinic ni zinajaa .
 
Nawatakia tendo la ndoa jema wote wenye ndoa usiku wa leo. Usisahau kuoga na kupiga mswaki vyema.

Usikurupuke maandalizi ni muhimu.

Usipanie sana relux

Wenye magari ya kusuma msikate tamaa.

Zoezi jema!
Asante.
 
Na weye unafanya? 👙👙👙👙

Nawatakia tendo la ndoa jema wote wenye ndoa usiku wa leo. Usisahau kuoga na kupiga mswaki vyema.

Usikurupuke maandalizi ni muhimu.

Usipanie sana relux

Wenye magari ya kusuma msikate tamaa.

Zoezi jema!
 
Back
Top Bottom