Nawatakia Sikukuu Njema Ma-House Girl na Ma-House Boy | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nawatakia Sikukuu Njema Ma-House Girl na Ma-House Boy

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Obuntu, Dec 24, 2010.

 1. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Napenda nichukue nafasi hii kuwatakia Sikukuu njema wafanyakazi wote wa majumbani. Pia natumia fursa hii kuwashukuru kwa kazi kubwa wanazofanya majumba, kwa maana bila wao familia zetu nyingi zingekuwa mashakani.

  Najua siku ya kesho mtakuwa na kazi nyingi sana hasa hasa zinazohusiana na kupika na usafi wa nyumba kwa ujumla. Jaribu kutumia wakati huo kuongea na ma-boss wenu kama kuna kitu kinawatatiza maana ma-boss wote kesho watakuwa nyumbani na watakuwa wanafuraha sana, ukizingatia pia mapochi yao yatakuwa na maela ya kutosha.

  Pia nawaombeni ma-boss kuwanunulia zawadi hawa wasaidizi wetu maana wao ndiyo wanaijua vizuri nyumba kuliko hata sisi! Wapeni shukrani kwa kuwalelea watoto na usaidizi mwingineo.

  Asanteni Sana na Mungu awabariki..
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hawaruhusiwi kuingia JeiEff.....nani atawafikishia ujumbe???
   
 3. semango

  semango JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  duuuh!kweli lile ni kundi maalumu katika jamii.
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  hivi watakuwa na wao wanasoma JF eeeh?
   
 5. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #5
  Dec 24, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wanaruhusiwa - Jamii Forum!

  Ukifika nyumbani waambie kuwa TUNAWAPENDA na TUNATHAMINI UWEPO WAO!
   
 6. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #6
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  watasoma vipi ujumbe huu ulioutuma???????
   
 7. n

  nyangau Member

  #7
  Dec 24, 2010
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 51
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tuko pamoja nao ila ni mgawanyo wa majukumu tu
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Dec 24, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hawaruhusiwi......kazi watafanya saa ngapi???
   
Loading...