Nawatakia kheri ya christmas

kawaida2

Senior Member
Oct 1, 2015
104
20
Ni desturi ya wenyeji wa mkoa wa kilimanjaro hasa yale makabila yote yanayojumuisha chagas kufanya specia joney kwa ajili ya kukutana pamoja na kusherekea sikuku ya christmas, mimi nikiwa kama mtanzania mwezenu na mwenyeji wa mtwara nawatakia safari njema, na pilikapilika njema ktk maandalizi ya kufikia kilele cha sikuku hiyo ya christimas, na kwa upendo kbsa naomba muwasalimie ndugu na jamaa wote kule njia panda, himo, mpaka holili, marangu mtoni, mweka rombo mkuu,rombo mashati mpaka tarakea, nisalimieni pale moshi mjini hasa hapo dar street, machame, boma ng,ombe hadi kia, mpaka A town.
Dah nimeimiss sana kilimanjaro na shamrashamra za christmas
 
Back
Top Bottom