Nawatakia jumapili njema wapenzi wa MMU

Kuna watu wanashangiliaga wakiona mod kawapa like au thanks (sijui kwa nini...it's kinda weird and retarded if you ask me but heck..who the hell cares).

Ngoja na mimi nishangilie....yeeeeeeeei....Innovator kanipa like!
 
ni siku nzuri aliyoifanya bwana mbarikiwe sana nani ana zile nyimbo nzuri aziweke tuburudike
 
Back
Top Bottom