Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,615
- 17,607
Wabarikini wanao waudhi
AminaMungu mbariki Erythrocyte
Huyu naye ni Great Thinker, kweli ccm ina mtaji ..Wanachama wa Ukawa wanahitaji maombi ikiwa bado wanaamini kuwa viongozi wao wala unga Mbowe na Lissu ni wazalendo.
Maendeleo yako wapi Kiazi wewe.Hongereni sana wanachadema kwa kujipendekeza kwa wazungu , kuichafua nchi kimataifa na kuponda kila aina ya maendeleo yanayofanyika nchini.
Shetani yuko upande wenu .
Akili yako imefunikwa na ukungu wa ufipa huwezi kuona chochote cha maana zaidi ya miguu ya mboeMaendeleo yako wapi Kiazi wewe.
Au hilo Bwawa la Zanzui ndiyo umeona Maendeleo..Akili yako imefunikwa na ukungu wa ufipa huwezi kuona chochote cha maana zaidi ya miguu ya mboe
Huyu naye ni Great Thinker, kweli ccm ina mtaji ..