Nawatakia heri ya pasaka Wanachadema na wana UKAWA tu popote walipo, Mungu awabariki sana

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
8,000
2,000
Wanachama wa Ukawa wanahitaji maombi ikiwa bado wanaamini kuwa viongozi wao wala unga Mbowe na Lissu ni wazalendo.
 

Ngwasa Omuyaya

JF-Expert Member
Feb 13, 2014
2,321
2,000
Akili yako imefunikwa na ukungu wa ufipa huwezi kuona chochote cha maana zaidi ya miguu ya mboe
Au hilo Bwawa la Zanzui ndiyo umeona Maendeleo..

Kuna viwanda vingapi hapo Maswa vilivyotoa ajira..

Wewe Mwenyewe umeikimbia Maswa..na kuwaacha wadogo zako wakiamka asubuhi hawajui pa kwenda.
Kilimo cha Pamba Maswa ilikuwa inaongoza leo nini kimetokea ..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom