Nawatakia heri ya pasaka Wanachadema na wana UKAWA tu popote walipo, Mungu awabariki sana

Hizi ni salamu za pasaka kutoka kwangu binafsi na kwa familia yangu pia , sikutaka kuweka unafiki wa kumtakia heri binadamu yeyote tu ili mradi ni Mtanzania , La hasha ! ndio maana nimewachagua Chadema na UKAWA tu.

Salamu zangu zifike mpaka kwenye gereza walimo viongozi wa chama kikubwa nchini Tanzania cha Chadema , ziwafikie wafungwa wote wa kisiasa na wale wote waliowekwa mahabusu kwa sababu za kisiasa , Mungu awape nguvu na ujasiri wa kuendeleza mapambano.

Ujumbe wangu kwenu ni kuendelea kuyatafakari maandiko matakatifu na hasa kitabu cha Yeremia 5:17 kisemacho " AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU " Maana hakuna mahali popote pale ambapo Mwanadamu wala Mwovu Shetani Aliwahi kumshinda Mungu

Naomba kuwasilisha .
Asante sana KAMANDA. MIMI nawatakia watanzania wote pasaka njema.
 
Yesu alikufa na kufufuka kwa ajili ya watu wote duniani bila kujal vyama vyao ,kabila,dini,mitizamo ya kisiasa au chochote. Nawatakia pasaka njema watu wote duniani popote walipo
Yesu hakuwa anadhulumu uhai wa mtu, Yesu hakuwa muongo wala Yesu hakutaka watu waisho kama Mashetani na pia Yesu hapendi wanafiki.
 
Yesu alikufa na kufufuka kwa ajili ya watu wote duniani bila kujal vyama vyao ,kabila,dini,mitizamo ya kisiasa au chochote. Nawatakia pasaka njema watu wote duniani popote walipo
we hujaelewa maandiko, inamaana yesu alikufa na kufufuka kwa ajili ya ukawa tu, ndio maana anawatakia pasaka njema
 
Makamanda wa Ukawa pamoja Na Mbwembwe zao walishindwa kweli kuchangiashana hata elf 25 tu kwakodia 'uber' Viongozi wao kutoka Segerea hadi Kisutu ili wapate dhamana ?
any way tuyaache, nawatakia Kila la kheir Makamanda popote walipo
Ule ulikuwa ni mpango uliondaliwa kuhakikisha wanakosa dhamana siku ile na kuendelea kukaa Segerea...
Tunapofikia hatua kama hizo ni vizuri tujiulize kama bado haki zetu za msingi zinathaminiwa ,sio kwa wanasiasa tu hata kwa wale wasio wanasiasa.
 
Halafu mtu kama wewe ndio wa kwanza kusema serikali inabagua wapinzani. Huu ni uchama wa kiwango cha zege.
 
Hizi ni salamu za pasaka kutoka kwangu binafsi na kwa familia yangu pia , sikutaka kuweka unafiki wa kumtakia heri binadamu yeyote tu ili mradi ni Mtanzania , La hasha ! ndio maana nimewachagua Chadema na UKAWA tu.

Salamu zangu zifike mpaka kwenye gereza walimo viongozi wa chama kikubwa nchini Tanzania cha Chadema , ziwafikie wafungwa wote wa kisiasa na wale wote waliowekwa mahabusu kwa sababu za kisiasa , Mungu awape nguvu na ujasiri wa kuendeleza mapambano.

Ujumbe wangu kwenu ni kuendelea kuyatafakari maandiko matakatifu na hasa kitabu cha Yeremia 5:17 kisemacho " AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU " Maana hakuna mahali popote pale ambapo Mwanadamu wala Mwovu Shetani Aliwahi kumshinda Mungu

Naomba kuwasilisha .
Hongereni sana wanachadema kwa kujipendekeza kwa wazungu , kuichafua nchi kimataifa na kuponda kila aina ya maendeleo yanayofanyika nchini.
Shetani yuko upande wenu .
 
Back
Top Bottom