Nawatakia Heri ya mwaka Mpya 2022 Freeman Mbowe na Wenzako Watatu mliolundikwa kwenye Magereza ya Tanzania

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,369
217,426
Chadema_ni_chama_cha_watu..jpg

Mwamba , wewe ndio Nuru pekee ya Haki iliyosalia Nchini Tanzania , Wewe ni nguzo pekee ya amani nchini , Pamoja na kwamba unaungwa mkono na karibu Vijana wote (98%) wa Tanzania , hata hivyo hujawahi kuwashawishi kufanya vurugu hata pale haki zako na za chama chako zinapovunjwa .

Kwa leo sina mengi sana , NAKUTAKIA HERI YA MWAKA MPYA WA 2022 WEWE NA WENZAKO WATATU mliotengenezewa kesi ya Mchongo , Tutaonana Mahakamani 10/01/2022
 
Joyce Mukya unapambana sana ili mchepuko wako utoke safi sana ila pole kwa Lilian
 
View attachment 2064028

Mwamba , wewe ndio Nuru pekee ya Haki iliyosalia Nchini Tanzania , Wewe ni nguzo pekee ya amani nchini , Pamoja na kwamba unaungwa mkono na karibu Vijana wote (98%) wa Tanzania , hata hivyo hujawahi kuwashawishi kufanya vurugu hata pale haki zako na za chama chako zinapovunjwa .

Kwa leo sina mengi sana , NAKUTAKIA HERI YA MWAKA MPYA WA 2022 WEWE NA WENZAKO WATATU mliotengenezewa kesi ya Mchongo , Tutaonana Mahakamani 10/01/2022

Mola awafanyie wepesi wote wanao sukwa sukwa na kuteseka kwa ajili ya kesho bora ya nchi hii.
 
Back
Top Bottom