Nawatakia heri wanandoa wote wanaofunga ndoa zao leo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nawatakia heri wanandoa wote wanaofunga ndoa zao leo!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Sep 24, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,583
  Likes Received: 5,764
  Trophy Points: 280
  Aijalishi wazazi walikutana wapi ukatoka aijalishi mzazi mmoja alikususa kukutunza
  kinachotakiwa ni wewe jinsi gani ya kuishi katika kutimiza mapenzi ya mungu labda
  kama kuna uamuzi mwema uliofanya ni huu wa leo kuamua kuoa ama kuolewa muanze
  familia yenu yenye upendo na amani....aijalishi ni aina gani ya maisha mnayoenda kuishi ,utapanda bajaji ama pikipiki kwenda kanisani
  ila kwa mapenzi ya MUNGU alieawapa uhai wake kwa niaba ya PDIDY Entertainment nawatakia
  harusi njema zenye upendo na baraka aijalishi ujanialika najua ni katika moja ya cost cutting
  ila MUNGU akusaidie hata ikifika mieizi sita unialike kuazimisha mmefika salama ntawapa muziki na mc bure kuazimisha sherehe yenu

  ndoa ni upendo
  ndoa ni amani
  ndoa na maelewano
  ndoa ni kufichiana siri
  ndoa ni kuheshimiana
  ndoa ni kuzalishana watoto bila idadi hali mmeamua ninyi wawili na mna uwezo wa kuwatunza na si kuwapeleka kiraracha ama samunge wakatunzwe na babu
  usikubali kudangnywa ndoa si mavumiliano waliovumiliana wengi wameshaondoka na bp kama sio oilcom hope umeelewa
  ndoa ni kuwa wawazi kila mmoja sisemi muanze kulazimishana kuandika mali zenu pamoja too early kwa sasa
  ndoa si uadui kumbuka ndio maana ukumuoa ama ukuolewa na dadako/kakako kwa hiyo kila mtu ametunzwa maisha tofauti lakini kwa uweza wa mwenyezimungu mnaunganisha maisha yenu aijalishi mmoja aliishi kwa dhiki mwingine kwa raha inakuwa moja raha mtindo mmoja mwisho

  ujumbe

  msikubali kwenda mahakamani hata siku moja ...mwenye macho aambiwi tazama
   
 2. W

  WIZARD Member

  #2
  Sep 24, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We vp,,,! umesahau kuwa ndoa ndoano.
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,583
  Likes Received: 5,764
  Trophy Points: 280
  ingekuwa ndoano mpwa si tungeitoa mv spice nje??
   
 4. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  mmmmh, Unawafundisha nini hapo wanandoa? Utawafanya hata wengine baada ya siku chache waachane kama ni hivyo...............
   
Loading...