Hivi haumjui BAK?Ulipotelea wapi mkuu
Karibu tena mkuu .Nipo nilichepuka kidogo, mzima?
Namjua Kama BAK mwanachama wa JF.Hivi haumjui BAK?
Nawatakia kila la heri na baraka kwenye sikukuu hizi mbili ziwe zenye furaha kubwa, amani na utulivu na wale wote muwapendao.
Huyu jina lake kamili ni Bashiru Ally Khatibu ndio yule jamaa wa ccmNamjua Kama BAK mwanachama wa JF.
Hayo hayanihusu mkuu!!Huyu jina lake kamili ni Bashiru Ally Khatibu ndio yule jamaa wa ccm
Kakojoe ukalaleHayo hayanihusu mkuu!!
Sawa.Kakojoe ukalale