Nawatafuta wakusanya madeni - debt collector / brokers

Silicon Valley

JF-Expert Member
Mar 6, 2012
1,092
1,116
Nawatafuta wakusanya madeni - debt collector / brokers
Wakuu salama ? naomba msaada wa haraka kuwapata licensed brokers au madalali wenye leseni maalum kwa kukusanya madeni kwa kulipwa kamishini, sisi tuko Dar tunfanya kazi na watu kadhaa baadhi tu wanasumbua kwa kukiuka mkataba na kuchukua fedha za kazi na kukwepa kulipa, broker anaweza kuwa kampuni au mtu binafsi tafadhali yeyote anayeweza saidia ani - PM
 
Kila la kheri mkuu. Wadeni wasumbufu dawa yao kuwapelekea sura ya mbuzi. Wakishaanza kuleta mambo ya kujuana ndo inakuwa tabu.
 
Nawatafuta wakusanya madeni - debt collector / brokers
Wakuu salama ? naomba msaada wa haraka kuwapata licensed brokers au madalali wenye leseni maalum kwa kukusanya madeni kwa kulipwa kamishini, sisi tuko Dar tunfanya kazi na watu kadhaa baadhi tu wanasumbua kwa kukiuka mkataba na kuchukua fedha za kazi na kukwepa kulipa, broker anaweza kuwa kampuni au mtu binafsi tafadhali yeyote anayeweza saidia ani - PM

embu jaribu check na majembe.
 
Back
Top Bottom