Nawatafuta ndugu zangu, Sophia Antony Marwa na Marwa Antony Marwa

Mafeking

Member
Aug 21, 2018
45
93
Habarini wakuu nawatafuta ndugu zangu wafuatao Sophia Antony Marwa, Marwa Antony Marwa Nilipotezana nao 2003 mkoani Mbeya, Nlikuwa bado mdogo sana.

Pia Omari M Mwita, John M Mwita ni ndugu nawatafuta. kwa ambae atakuwa anawafahamu tafdhari naomba tuwasiliane kwa namba 0753500631/0784304324.

Mimi ni kaka yao au mdogo wao Werema M Mwita.
Asanteni..
 
Nakutakia kila la kheri kuwapata ndugu zako. Toka 2003 ni kitambo sana. Nini kiliwafanya mtengane? Hope wote ni wazima wa afya.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kuna Majina kufanana,kuna jamaa namfahamu sina mazoea nae saana.
Yupo Dar.
Anaitwa Marwa Marwa,
Sasa jina la katikati silijui.

Kila la Kheri ,ndugu
 
Habarini wakuu nawatafuta ndugu zangu wafuatao Sophia Antony Marwa, Marwa Antony Marwa Nilipotezana nao 2003 mkoani Mbeya, Nlikuwa bado mdogo sana.

Pia Omari M Mwita, John M Mwita ni ndugu nawatafuta. kwa ambae atakuwa anawafahamu tafdhari naomba tuwasiliane kwa namba 0753500631/0784304324.

Mimi ni kaka yao au mdogo wao Werema M Mwita.
Asanteni..
Hongera kwa kuwatafuta ndugu zako niliwafahamu wakiwa Mbeya wakiwa wadogo kama ndo hao unao watafuta mwingine alikuwa anaitwa Talagwa Marwa. Mama yao alikuwa Mwalim wa shule ya Msingi na Baba yao wakati huo alikuwa anafanya Kazi huko Morogoro Kihansi je ni hao? Kama ndiyo nijulishe niombe namba ya Baba yao kuna jamaa nafahamiana naye
 
Habarini wakuu nawatafuta ndugu zangu wafuatao Sophia Antony Marwa, Marwa Antony Marwa Nilipotezana nao 2003 mkoani Mbeya, Nlikuwa bado mdogo sana.

Pia Omari M Mwita, John M Mwita ni ndugu nawatafuta. kwa ambae atakuwa anawafahamu tafdhari naomba tuwasiliane kwa namba 0753500631/0784304324.

Mimi ni kaka yao au mdogo wao Werema M Mwita.
Asanteni..
Hongera kwa kuwatafuta na kuwapata mungu akubarik
 
Mpoki alishawahi kusema UKIWA NA HELA NDUGU ZAKO WOTE UTAWAFAHAMU
 
Back
Top Bottom