Nawatafuta LATRA bila mafanikio, naomba msaada kuwapata

ngaillob

Member
Sep 15, 2011
66
32
Wana JF msaada nawatafuta LATRA kwenye namba zao 022 219 75 00 na 0800110020 hawapokei toka asubuhi au hizi namba wameweka kama geresha?

Kama kuna mtu Ana namba inayopatika anipatie kuna jamaa wa kampuni moja ya mabasi wamepandisha nauri Mara dufuau

Kama kuna msaada mwingine wana JF nisaidieni
 
Acha ukuda huu ndo muda wa kupata faida ikifika mwezi wa pili gari inaondoka na abiria kumi tu
 
Moja ya kipimo cha umaskini ni kufuatilia yasiyokuhusu. Gari lake muache aweke nauli aitakayo, wewe usiyekuwa na uwezo wa kulipa hiyo nauli kapande gari nyingine. Huu ushawishi wa kupenda kushtaki shtaki mtaishi kutupiwa mjini muwape tabu ndugu zenu.
 
Wana JF msaada nawatafuta LATRA kwenye namba zao 022 219 75 00 na 0800110020 hawapokei toka asubuhi au hizi namba wameweka Kama geresha?Kama kuna mtu Ana namba inayopatika anipatie kuna jamaa wa kampuni moja ya mabasi wamepandisha nauri Mara dufu.au Kama kuna msaada mwingine wanajf nisaidieni
Ongea na traffic police watakupatia msaada kwanza hiyo ni deal kwao. Mwambie unampa dili Ila achukue rushwa ya laki akukatie 30. Acha kuzubaa fursa ndio hizo.

Mie nina manjagu wangu kadhaa nikionaga wachina hawana permit au wanafanya four huwa nawastua wana tunaibuka wanakula Chao na wananikatia changu maisha yanasonga..
 
Mimi naomba msaada wa kukata kibali cha usafirishaji bila kwenda ofisini kwao,kwa yyte anaejua control number yao ya malipo anijulishe
 
Mimi naomba msaada wa kukata kibali cha usafirishaji bila kwenda ofisini kwao,kwa yyte anaejua control number yao ya malipo anijulishe
Ingia kwenye website yao rrims.latra.go.tz ujisajili kwanza kama msafirishaji. Utahitaji namba yako ya NIDA na e mail address kujisajili. Ukishajisajili basi utaweza kuomba kibali na watakupatia contol number bila wewe kwenda ofisini kwao. Kumbuka huwezi kupata control number kama hawajakukadiria kiasi unachopaswa kulipia.
 
Ingia kwenye website yao rrims.latra.go.tz ujisajili kwanza kama msafirishaji. Utahitaji namba yako ya NIDA na e mail address kujisajili. Ukishajisajili basi utaweza kuomba kibali na watakupatia contol number bila wewe kwenda ofisini kwao. Kumbuka huwezi kupata control number kama hawajakukadiria kiasi unachopaswa kulipia
kiongozi shukran sana,ngoja nifanye ivo nitarudi tena kwako kama nitakua sijafanikiwa kwa njia hyo
 
Ongea na traffic police watakupatia msaada kwanza hiyo ni deal kwao. Mwambie unampa dili Ila achukue rushwa ya laki akukatie 30. Acha kuzubaa fursa ndio hizo.

Mie nina manjagu wangu kadhaa nikionaga wachina hawana permit au wanafanya four huwa nawastua wana tunaibuka wanakula Chao na wananikatia changu maisha yanasonga..
Thx kwa msaada
 
Wana JF msaada nawatafuta LATRA kwenye namba zao 022 219 75 00 na 0800110020 hawapokei toka asubuhi au hizi namba wameweka kama geresha?

Kama kuna mtu Ana namba inayopatika anipatie kuna jamaa wa kampuni moja ya mabasi wamepandisha nauri Mara dufuau

Kama kuna msaada mwingine wana JF nisaidieni
Likamate hilo basi ulilete ofisini, ofisi zetu zipo hapa barabarani tu ukimuuliza bodaboda yeyote atakuleta.
 
Latra ni mafala tu mimi nimewapigia mara kibao hakuna msaada wowote waliotoa
 
Back
Top Bottom