Nawasubiri wadau wa ict tabata chang'ombe! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nawasubiri wadau wa ict tabata chang'ombe!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Cheche Mtungi, Nov 15, 2010.

 1. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,476
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Kama nilivyosema tangu mwanzo man from bonde nimefungua ofisi tabata chang'ombe mkabala na magorofa ya VETA, huduma za internet,typing,printig zinpatikana,pia kuna computer garage kwa wale wenye computer zao zenye matatizo,KARIBUNI SANA.
  MD ICTRONICS.

  KWA AJILI YA UFUNGUZI KUNA PUNGUZO LA ASILIMIA 10 (10%) KWA WATAKAO LETA MACHINE (COMPUTER) KWA AJILI YA MATENGENEZO.
   
Loading...