Nawashwa mwili nikikumbana na Joto

directa

Senior Member
Jan 27, 2017
102
150
habarini.

mwenzenu nasumbuliwa na muwasho, kama mchomo mchomo kwenye ngozi. hii hali inanitokea ninapo kuwa exposed na jua, kwahio mwenzenu hata nje situki mpaka saa kumi na mbili.

lakini istoshe.

hata nikikumbana na joto, kwa namna yeyote ile. wakati nacheka, au wakati nimelala usiku (nalalaga zero distance na feni), au nafanya shughuli yeyote itakayo niletea Joto. basi nawashwa mwilii balaaaa. kwahio hata kama nikijifungia ndani, inabidi nikae karibu na feni.

hii hali ilinianza mwezi wa sita mwaka jana. sasa sijui ni shetani amenipiga pini:( nisitoke kufanya maendeleo, au kuna sababu za kisayasi.

nilienda amana, wakaniambia sina Tatizo kabiosa. yaani hawajaona ugunjwa.

please help
 
Jaribu kubadili vipodozi na sabuni unazotumia kwa muda wa wiki mbili halafu utatupa mrejesho.
 
Back
Top Bottom