Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

Nilikua nalo.nikatumia deto na kunyoa nywele
Nilikua nikitembea pia juani nawashwa
Ila toka nimenyoa na kutumia detto nipo safi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unachanganya detto kwny maji ya kuogea au? Cjakuelewa maana mm nikimaliza kuoga nawashwa mwil mzm kama 15 HV na nikiloa hata na mvua napat shida nyakati za uck nwakuwa nawashwa sana 0657230355 nipo Dar tunaweza kuwasiiana
 
Ni kweli ht mm napataga hayo maumivu ya pembeni mwa tumbo, mda mwngn tumbo kujaa gesi.... Ngj nijaribu kuach hvy vinywaji, vykula vya viwandani na matumizi ya maji mengi tuone
 
Kwahiyo unachanganya detto kwny maji ya kuogea au? Cjakuelewa maana mm nikimaliza kuoga nawashwa mwil mzm kama 15 HV na nikiloa hata na mvua napat shida nyakati za uck nwakuwa nawashwa sana 0657230355 nipo Dar tunaweza kuwasiiana
Unaogea detto ile sabuni ya solid acha liquid, na hakikisha nywele hamna mkuu ziishe kabisa hapo hutowashwa tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau habari za majukumu........
Mimi ni kijana wa kiume 29yrs, nasumbuliwa na tatizo la kuwashwa mwili wote nikijikuna vinatoka vipele vya mbalimbali vidogo vyekundu.

Nilienda hosptali nikaeleza, nikaambiwa nipime haja kubwa na mchafuko wa damu (VDRL), kwenye damu sikukutwa na shida yoyote, ila kwenye haja kubwa nikaambiwa wameona minyoo!!

Nilipewa dawa nikatumia, doz ilishaisha lakini tatzo la kuwashwa na kujikuna liko palepale,

Wataalam mlioko humu naombeni ushauli, nateseka, hadi kwenye dudu najikuna, yaan ni muwasho kila sehemu.
 
dear all...

nina hali ya kuwashwa mwili sehem tofauti tofauti na kwa vipindi tofauti....hasa usiku..nimeende hospitalini nikapewa dawa ya vidonge na ya kupaka...ila bado sioni nafuu...kwa sasa nawashwa sana mapajani,kifuani pembeni na sehem ya mapajani...japo baadae muwasho waweza kuhamia sehem nyingine...naomba mnisaidie
 
Nashindwa kuku shauri avatari yako inanipa mashaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dear all...

nina hali ya kuwashwa mwili sehem tofauti tofauti na kwa vipindi tofauti....hasa usiku..nimeende hospitalini nikapewa dawa ya vidonge na ya kupaka...ila bado sioni nafuu...kwa sasa nawashwa sana mapajani,kifuani pembeni na sehem ya mapajani...japo baadae muwasho waweza kuhamia sehem nyingine...naomba mnisaidie
Chukulia umepona. Tiba ya Aunt Zainab's Natural Super Clay inasaidia kila aina ya ugonjwa wa ngozi.

Tupigie kwa maelezo zaidi: 0769302206

Wenye Matatizo ya Chunusi na Zaidi: Aunt Zainab's Natural Super Clay - JamiiForums
 
Back
Top Bottom