Nawashukuruni nyote.

kichenchele

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
539
176
Naomba nitumie muda wangu kuwashukuru wale wote walioonyesha nia ya kutaka kununua pharmacy ambayo nilisema ilikuwa sokoni. Nashukuru nimeshaiuza. Ahsanteni sana. Nimeona niwashukuru kwa kuwa wengine mlitoa ushauri ambao ulisaidia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom