Nawashukuru wana jf kwa.......

potentman

New Member
Sep 1, 2011
1
0
Natoa shukrani zangu za dhati kwa wana Jf kwa post safi ambazo sio siri kwa hizo nikapata hamasa kubwa kuhusu ule uchaguzi 2005 . Na sikuishia hapo niliomba nafasi ya kusimamia na nikapata. Uchaguzi ulienda vizuri sio siri ila kwa sisi wasimamizi kata ya UBUNGO walitufanyia ndivyo sivyo nakumbuka mpaka saa 10 usiku ilikuwa bado tunagewa vifaa. Kuja kuletwa vituoni saa 12 asubuhi tena kwa usafiri wa gari za taka na wananchi washatia timu. Ilikuwa ni noma , ile kuanza kupanga madawati, vituturi na usafi muda wa kuruhusu wapiga kura ukawa ushafika na wananchi tukawaruhusu.Piga mzigo sanaaaaa. Baadae kufika saa 6 mchana wananchi wakapungua na kutupa nafasi kuagiza msosi. Jioni tukawa tunabandika matokeo. Matokeo ambayo Mnyika akatinga mjengoni. Ilikuwa furaha sana usiku ule walipopita mtaani na Gari, piga msele sana kituoni. Watu furahi sana nakumbuka
 
Kamwambie mnyika akae sawa, azungukie wapiga kura wake, tuna mengi ya kulonga naye.
 
2005?. Hujui unachoandika. Kama hawa ndio wasimamizi wa uchaguzi, kazi ipo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom