Nawashukuru Makamanda wote mlioipigania Chadema mitandaoni kwa udi na uvumba 2017

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,530
217,791
Wakuu heri ya sikukuu ya Mwaka mpya.

Kiukweli nitakuwa mchoyo wa fadhila kama nitashindwa kutoa neno la shukrani kwa makamanda wenzangu waliopambana kisomi sana hapa jf na kwingineko ili kupangua propaganda duni dhidi ya Chadema , ushahidi unaonyesha kwamba makamanda mmeshinda , tena mmeshinda kwa mbali sana dhidi ya wazandiki wanaolipwa , Mungu awabariki sana .

Nimeshindwa kutaja majina yenu maana mko wengi sana , bali wote mliopigania Chadema nawaomba mzipokee shukrani zangu .

Wahenga wanasema kwamba UKIONA GIZA TOTORO BASI UJUE KARIBU KUNAKUCHA , nazitambua changamoto zinazowakabili nje na ndani ya mitandao bali nawahakikishieni kwamba HAKUNA HATA SIKU MOJA AMBAYO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU , 2018 mapambano yaendelee kwa weledi zaidi maana adui kishalegea , sasa hivi ana mbinu moja tu ambayo tumeishaistukia , ile mbinu ya kishamba ya biashara ya binadamu .

Mungu ibariki Chadema .
 
Tuko pamoja kamanda ndio kwanza kumekucha.

Hoja zao mufilisi tumezipangua kwa weled mkubwa sana siku zote, tumepambana kwa hoja wakaja kwa bubduki na mubgiki wao bado wakashindwa, wakaja na mbinu mpya ya kununua nayo tumeshaidaka sijui badae watatumia nini.
Wakuu heri ya sikukuu ya Mwaka mpya.

Kiukweli nitakuwa mchoyo wa fadhila kama nitashindwa kutoa neno la shukrani kwa makamanda wenzangu waliopambana kisomi sana hapa jf na kwingineko ili kupangua propaganda duni dhidi ya Chadema , ushahidi unaonyesha kwamba makamanda mmeshinda , tena mmeshinda kwa mbali sana dhidi ya wazandiki wanaolipwa , Mungu awabariki sana .

Nimeshindwa kutaja majina yenu maana mko wengi sana , bali wote mliopigania Chadema nawaomba mzipokee shukrani zangu .

Wahenga wanasema kwamba UKIONA GIZA TOTORO BASI UJUE KARIBU KUNAKUCHA , nazitambua changamoto zinazowakabili nje na ndani ya mitandao bali nawahakikishieni kwamba HAKUNA HATA SIKU MOJA AMBAYO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU , 2018 mapambano yaendelee kwa weledi zaidi maana adui kishalegea , sasa hivi ana mbinu moja tu ambayo tumeishaistukia , ile mbinu ya kishamba ya biashara ya binadamu .

Mungu ibariki Chadema .
 
Nitoke kidogo nje ya mada.
Unajua mkuu mkuu kuna maswali kadhaa ambayo unatakiwa kuyatolea ufafanuzi kabla ya kutoa shukrani zako hizi.
Swali la msingi nikwamba kwa nini mpaka leo haujahama chadema wakati kukiwa na ushahidi hapahapa jukwaani uliwahi kutamka wewe mwenyewe pasipo shuruti kwamba Lowasa akihamia chadema wewe utahama chama.
 
Nimejibu swali hilo more than 10 times , nisingependa kuendelea kujibu tena , kama hayo mengine yanayonihusu uliyaona basi bila shaka hata majibu yake ukiyatafuta utayapata .
 
Back
Top Bottom