Nawashtaki Grace Kiwhelu, Lucy Owenya, Mary Chitanda na Mwanasheria Mkuu

Buhry, the reasoning was two pronged. First, justice would be delayed. Secondly, courts are not impartial. It was felt because of the 'obvious truth' maandamano would yield the desired results faster. It was a 'political' decision. It helped to bring the issue to the front but didnt solve the problem.
 
Msando,


Naomba unifahamishe yafuatayo kwani mimi sina utaalamu na Sheria,

Je hawa wabunge si walipewa barua na vyama vyao kuwasili katika jimbo flani kama mwakilishi wa jimbo hilo ? Na katika kutafuta tafsiri kwa nini wasishtakiwe wale tu waliopindisha maana/tafsiri ya sheria husika?

Hauni kwamba kwa kuwashtaki hawa wabunge ,watakuja na ushahidi wa barua walizopewa na vyama vyao nahivyo ukahitajika kufungua kesi nyingine ambayo itawahusu waliopindisha tafsiri na hivyo kumislead the whole system .

Je wabunge kama wa CDM wana kosa gani ilhali baada ya Mwanasheria mkuu wa serikali kupindisha tafsiri,na kwa sababu mwanasheria huyo yupo kwenye nafasi ya kutoa tafsiri sahihi..basi wao kama wadau wa siasa wakaamu kumteua Mh Kiwelu na Owenya kwa jimbo la hai na Anna komu jimbo la arusha mjini ?


Ni hayo tu.

Msandoalberto ningependa uchukue hii point in consideration in this matter,naona kama inauzito wa kutosha.Napenda kusema kunawatu wanaleta mzaha mahali pasipofaa,watu wengine huku jamvini ni maneno ya matusi na kijeli hambazo hazina upeo wa taaluma zao.Mtu kaleta mada,watu wengine...sijui ni seme midomo ndio michafu au ni vidole ndio vichafu kuandika vikashfa visivyo na mantik.Tujirekebishe wadau.Lunga chafu hazina tija ila zina kushushia hadhi.
 
Nashindwa kuelewa kwanini watu hawamuelewi MA nafikiri hii iko wazi kutokana na jinsi alivyofafanua sema wengi wetu humu hatusomi kilichoandikwa na kukifikiria kwa mapana
 
Unajisumbua bure....we utaona tu, hukumu itatolewa June 2015 ikiwa umebaki mwezi mmoja vipindivyao vya ujumbe huo haramu unaouona wewe uishe.
Anyway, sikukatishi tamaa..jaribu!

Humkatishi tamaa wakati ushamwambia anajisumbua bure?

Tunahitaji watu jasiri kama huyu wakili.
 
Buhry, the reasoning was two pronged. First, justice would be delayed. Secondly, courts are not impartial. It was felt because of the 'obvious truth' maandamano would yield the desired results faster. It was a 'political' decision. It helped to bring the issue to the front but didnt solve the problem.

Msando, nimekuelewa Vizuri (Maybe umeshalala it's late now, lakini hata ni Kesho naomba unieleweshe Zaidi) Nimesikia Halmashauri ya Arusha ina Wajumbe 31, CCM 16 (including the Disputed Mary Chatanda), CHADEMA 14, na TLP 1. Chadema walipotoka nje, walibaki 17, akidi ikatimia, wote walimchagua Mayor aliepo sasa, hata tukiondoa kura ya Chatanda zinabaki 16 ambazo nazo pia ni zaidi ya Nusu zinazohitajika kupata Uhalali wa Uchaguzi huo. Sasa tatizo hapa tunalotakiwa kulielewa kwa Maandamano ni lipi? Au hizo Takwimu si Sahihi? Nimependa Reasoning Capacity na Rationality yako, plz help me to Understand.
 
Hivi huyu anaetumia hii identity ya MsandoAlberto ndio yule Albert Msando wa ukweli au?

Mbona kama kavamia jukwaa kwa kasi kiivo...! Mbona naona hana spidi gavana ya anachokiandika vile...! Beware ndugu...!
 
Buhry, the statitstics are correct.

What happened in Arusha is as you have put it except the facts are:

1. The members did take an oath on 17th Dec. The Regulation provides that one must take an oath before assuming office and before the 'first meeting of the council'. So after taking the oath it is when the question of Chitanda's membership was heatedly discussed again.

All this time Chadema counicillors had not signed the attendance registry. The first meeting had the following agenda, 1. Opening, 2. Election of the Mayor and the Deputy 3. Selecting permanent committees, 4. Closing.

So, the question is, at what time was the first meeting opened on 17th Dec? It never was opened. Taking of oaths is outside the meeting agenda. There cant be a valid meeting if one hasnt taken an oath so taking of oaths cant be an 'agenda' of the meeting.

2. The Director wrote a letter on 17th Dec after the Chitanda issue wasnt resolved and it was late, 6.30 pm. He allegedly adjourned the meeting to 18th Dec. In his letter he said 'mkutano umeaihirishwa mpaka kesho saa nne ili kumalizia agenda zilizosalia'

The question is, which agenda was discussed on 17th out of those mentioned above? Zilizosalia ni zipi?

3. On 18th Dec the CDM councillors didnt again sign the rigister nor did they attend the 'meeting'. Those of CCM proceeded to attend the 'meeting' and voted.

They say that the quorum used is that of the 17th Dec bse the meeting had been adjourned and so the meeting had a quorum! Is it correct?

4. But, the regulation provides the quorum for the first meeting to be 2/3. So is 17 a 2/3 of 31? You know maths better than me. Tell me.

As you can see, the meeting was never officially opened, the quorum used is allegedly to be the number of those who took oaths but forgetting that taking of an oath is before the meeting. What shuld have been done is, after the oaths the Director shuld have announced the meeting opened by first confirming quorum. That wasnt done. Quorum was assumed to be ok.

For me that is my view of what happened.

My opinion is that, the first meeting was not there at all. It never was conducted. It didnt have a quorum even if CDM councillors took oaths. They must have signed the register and confirm precence in the meeting which must have been officially opened as per the agenda. The adjournment to 18th of a meeting which was never there is wrong and illegal.

The proceedings of 18th Dec are a nullity.

I hope I have at least shade some light. Let me get back to sleep.
 
Hivi huyu anaetumia hii identity ya MsandoAlberto ndio yule Albert Msando wa ukweli au?

Mbona kama kavamia jukwaa kwa kasi kiivo...! Mbona naona hana spidi gavana ya anachokiandika vile...! Beware ndugu...!

Mhafidhina, yes ni Albert unayemfahamu. Hujasema ni wapi nakosea kushirki kwenye jukwaa na ni spidi gani natakiwa kuwa nayo kwenye ushiriki huo. Tafadhali nijulishe na ikiwezekana nielimishe.

Bahati mbaya sina ID ya kando au sikuona haja ya kujificha ili nisijulikane. Inawezekana pia nakosea kufanya hivyo kwa hiyo utakuwa wa msaada ukanishauri cha kufanya.

Binafsi naona my speed is ok, that is how it has always been. Am careful though.

Otherwise thank you for the caution. Point taken.
 
Msando Albert, baada ya kukusoma sana humu, I can see some light in you. Kitu ambacho bado najaribu to grasp ni your motive behind, the underliying forces behind you, is it egotism au genuine fighting for the right cause.

Angalizo: Nakuomba keep the drive unayo ionyesha hapa usije tukimbia humu kama mwenzio. Kitendo cha kutaka kutoa boriti kwenye jicho lako at the same time uondoe na kibanzi kwenye jicho la mwenzio ni risky strategy. Anza kwanza na boriti ukivuka salama ndipo fuatilia kibanzi!.
 
kwenye hiyo kesi muongeze Namelok SOKOINE alichukua fomu monduli kwa hiyo alipaswa kuingia kwenye halmashauri ya monduli sio arusha mjini
 
Wewe tunakufahamu. Huna Uchungu huo bali unatafuta UMAARUFU KWA NGUVU KWELI. Ulishindwa DARUSO sasa unataka uraiani. Umaarufu hautafutwi hivyo. Jiangalie mdogo wangu Abert, UTAPOROMOKA!

Mbona unajichanganya mkuu? ataporomokaje kama hana umaarufu?? acha chuki binafsi hapa.
 
Mapenzi jama mapenzi,yakikolea yaua
Yaweza fanya makubwa,yale mtu asojua
yakufanya ujidhili,ubaki ulivyozaliwa
Huoni hata maficho,hadharani wajitoa

Hebu geuka rafiki,nenda omba msamaha
Grace atakusikia,tena atakusamehe
Nawe utaona raha,kesi yako taifuta
Usije chezea moto,noa utakuchezea mbele

Kumbuka bado ujana,unakusumbua kichwa
Tengeneza tai yako,isije chafua shati
Chama ulichoingia,wote mestaarabika
Usije leta uchafu,ulokoroga tokapo
 
Mtu wa kwanza kumpigia simu na kumjulisha nia yangu njema alikuwa ni Mh. Grace. Anafahamu vizuri sana kwanini nimeamua kusimamia hili. Maneno ya kuchonganisha hayana nafasi kwa sasa na Chadema itaendelea kuwa imara na salama.

Pamoja daima.

Shiit! Kwa hiyo mnatu-BLACKMAIL? Get this rubbish outa here.
 
Brother Msando heshima kwako!

Nimesoma vifungu ulivyovitambua kwamba haviwapi sifa waheshimiwa tajwa ya kuwa madiwani wa halimashauri husika.
Wakati utaratibu wa CCM unajulikana namna wanavyopata wapendekezwa wa viti maalum, upande wa CDM nadhani inabidi ulidadavue zaidi.

Kama nakumbuka uzuri CDM walitengeneza vigezo vyao vya namna ya kupata wapendekezwa wa viti maalum. Labda ungerejea utaratibu mliotumia CDM maana utakuwa na kazi kwanza ya kuonyesha kiushahidi kuwa their nomination did not originate from organs of CDM within the area of jurisdiction of the district council.

Ingawa mimi si mwanasheria naomba kujua yafuatayo:
1. Nomination: kwa nini unataka tuamini kwamba hili neno lina maanisha "Propose a candidate for election" pekee na si "Appoint/Name someone to an office"? CCM utaratibu wao ni wa kura na ushahidi upo kwamba nani alipigiwa kura wapi. CDM hawakuwa na utaratibu wa kura.

2. Originate: Baada ya kupata tafasiri ya hapo juu wasiwasi wangu ni kwamba hao wajumbe wa CDM watakuja na barua CDM wilaya zikiwapendekeza kwa CDM Taifa ili wawe appointed kuwa wabunge wa kuteuliwa. Sasa hapa utakuwa na kazi ya kubishania appointment yao ilivyofanyika.

Unaweza ukapata ushahidi dhahiri kwamba uteuzi wa Chitanda ulitokea Tanga kwa kupigiwa kura, kwa CDM limekaa kimtego zaidi. Na kama nomination ikimaanisha lazima kupigiwa kura basi wabunge wenu (CDM) wote wa kuteuliwa watakuwa feki maana hawakupigiwa kura kwenye halimashauri zao.

Hebu shade some light hapa nahisi watakutoa Knock-out kwenye round ya kwanza.

 
Pasco, thank you. I understand that it is only human to question the motive and intention of ones act. It is even more so when that person is unknown or the act itself is not popular.

I have been in out-of-the-picture politics since 2004. The reason was simple, I should concentrate on my profession and set a base. I did that until last year when i contested and won the Mabogini Ward Councillorship.

Now I am serving my people, my country. The drive is a feeling of obligation and duty. And, as a person the satisfaction that by doing good I will have played my part.

I will admit one thing which many wouldnt publicly or openly admit. I want to be and feel a hero. I want to be appreciated and praised for towering down the stronghold of injustice.

We human beings are created in the likeness of our God. Our God is a God of praise that is why he wants us to praise him and serve him. We sing his praises. He is requires us to do so and by doing so he blesses us.

I am ready to go for this. I have all my nerves ready for the outcome. But I am trustful it will all be safe and the objective will be reached.
 
Si kweli, ataporomoka kwa sababu umesema? yeye ni Diwani, ebu waambie ukoo wako wajipange popote walipo simikeni Diwani mmoja tu uone kama ni kazi rahisi!

Tunamjua Msando ana uhuru wa mawazo popote alipo, we know this

Go Msando Go!!

Unanifahamu mimi ni nani au unaropoka tu. Kuna watu humu jamvini mnadhani ninyi ndio kila kitu. Amini nawaambieni wapo wengine zaidi yenu ambao wanatoa mchango mkubwa sana katika mageuzi ya nchi hii kuliko mnavyodhani. Unajua ni namna gani tumetoa michango kwa ustawi wa chadema na jamii? Fikiria kabla hujazungumza.
 
pasco, thank you. I understand that it is only human to question the motive and intention of ones act. It is even more so when that person is unknown or the act itself is not popular.

I have been in out-of-the-picture politics since 2004. The reason was simple, i should concentrate on my profession and set a base. I did that until last year when i contested and won the mabogini ward councillorship.

Now i am serving my people, my country. The drive is a feeling of obligation and duty. And, as a person the satisfaction that by doing good i will have played my part.

I will admit one thing which many wouldnt publicly or openly admit. I want to be and feel a hero. I want to be appreciated and praised for towering down the stronghold of injustice.

We human beings are created in the likeness of our god. Our god is a god of praise that is why he wants us to praise him and serve him. We sing his praises. He is requires us to do so and by doing so he blesses us.

I am ready to go for this. I have all my nerves ready for the outcome. But i am trustful it will all be safe and the objective will be reached.

hauaminiki
 
Noel,

Nakushukuru kwa kutaka kujua.

Kwanza kabisa 'kushtaki' usitafsiri kama kushtaki mtu kwa kutenda kosa. Wabunge hao hawana kosa ila kitakachozungumzwa mahakamani kinagusa haki yao ya ujumbe kwenye hizo halmashauri ambazo vyama vyao vimewapa

Ni lazima wawe ni party to the application ili haki itendeke. Kama wanaweza kutoa uthibitisho (sio barua) kwamba wameteuliwa kuwa Wabunge na chombo ambacho kimo ndani ya Halmashauri husika basi mahakama itatamka wazi kwa ni halali wao kuwa wajumbe kwenye Halmashauri hiyo. Hili litasaidia kuondoa vurugu na mvutano uliopo Arusha mpaka sasa.


Msando

nashukuru kwa ufahamu huu . Nakutakia kila la heri katika hili .Pamoja
 
Back
Top Bottom