Nawashauri wachezaji wazawa kuwekeza kwenye "body fitness"

Apollo one spaceship

JF-Expert Member
Jan 28, 2021
242
431
Kina Feisal, Zimbwe, Kapombe huwa wanapigwa push moja tu chini hivyo inakuwa rahisi kupitika.
Afadhali ya Samatta ana body stability kali.

Tujifunze kwa kina Mugalu, Aucho, Bangala, wapo stable sana hivyo huwanyang'anyi mpira kirahisi

Mtu Kama Sadio Kanoute ana mwili wa kawaida lakini yupo stable sana sio rahisi kumnyang'anya mpira.

Kina mzamiru ni push moja tu chini. Wekezeni kwenye stability mkiwa na mpira Kama kina Sakho au kina Aucho.
 
Idd nado,ambundo,moloko,sakho,banda, labda hawa ila kwa feisal na kapombe umedanganya labda kama hufuatilii kuna wachezaji wamebadilika kama job,mwamnyeto hata zimbwe ana nguvu za kutosha now
Lakini bado sana ukilinganisha na michezaji ya nje,we ngoja tuon kweny game na Benin
 
Kina Feisal, Zimbwe, Kapombe huwa wanapigwa push moja tu chini hivyo inakuwa rahisi kupitika.
Afadhali ya Samatta ana body stability kali.

Tujifunze kwa kina Mugalu, Aucho, Bangala, wapo stable sana hivyo huwanyang'anyi mpira kirahisi

Mtu Kama Sadio Kanoute ana mwili wa kawaida lakini yupo stable sana sio rahisi kumnyang'anya mpira.

Kina mzamiru ni push moja tu chini. Wekezeni kwenye stability mkiwa na mpira Kama kina Sakho au kina Aucho.
Ila likibu Denisi lingekuwa na football brain, lingekuwa hatari sana, lina mwili wa kazi, tatizo ni Nchimbi type!
 
Wachezaji wetu tatizo lao sio fitness tu, wachezaji wetu wengi wamekosa mechi za kutosha kuweza kucheza ligi kuu.
Mchezaji ana cheza daraja la nne mechi kumi msimu unao fuata anacheza ligikuu.Apa Kati wachezaji wa bongo wanacheza Ligi kuu wakiwa awaja pevuka kisoka. Wanakosa mechi nyingi za kiushindani, miili yao atakama midogo ilitakiwa iwe imejengeka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom