Nawashauri vijana waliositishiwa ajira na wanaosubiri ajira mpya waandamane

big IQ

JF-Expert Member
Dec 16, 2012
491
890
kama kichwa cha habari kinavyojieleza wewe umeshaona kujiajiri hauwezi serikali yako kila siku inakupiga chenga na matamko na mikanusho. kuandamana ni haki yako ya kimsingi;; kuliko kuzungumzaa ovyoo ovyooo tuu kwenye mitandao ya kijamii (in pogba voice) huenda hii serikali sikivu ikawasikia.
 
Huwez kuandamana palipo na demokrasia mfu, utapata matatizo zaidi kuliko haki yako.
 
it's useless kuandamana, tatizo mkulu haelewek kabisa sisi tumsubiri tu 2020 ili na sisi tumuadabishe.
 
Kutatua tatizo la ajira hana huo mpango,mpango wa awamu hii ni ndege kwanza,nyie kufeni njaa huko!..mlijipendekeza wenyewe
 
Ahhh wapi . .mambo ya kale yamepita sasa . ..
 
Kipimo atakiona uchaguzi mdogo wa madiwan nadhani siyo muda mrefu wataanza kuitana lumumba
 
Kipimo atakiona uchaguzi mdogo wa madiwan nadhani siyo muda mrefu wataanza kuitana lumumba
Hizo kelele za mijini ,Tutaipigia CCM mambo ya ajira ni ishu za mtu binafsi,mbona wenzako hawadai matrekta ya kulimia tena ni wengi vijijini wanatumia mkono ,nyie mpo wangapi?
 
Mbona vijana walositishiwa ajira wameanza kurudishwa kazini. Kwa mfano IRINGA DC na Chuo Kikuu Cha Elimu Mkwawa wameshawarejesha
 
Wewe naona hututakii mema kabisaaaaa kabisa.
Tuandamane tuvunjwe vunjwe halafu ndio watoe ajira tushindwe kwendwa mana tutakuwa tumepunguzwa idadi technically.
Ulemavu wa kujitakia au kifo hakuna anayependa kwakweli acha tu tuvumilie au unaona watu wapo kimya unafikiri ni wajinga.
 
Kura ni siri ya mtu hapo ndipo watz tunapofeli kuweka plural kwenye singular sema mimi sio tuta kwani kura za maruhani hizo zile za ndioo
 
wadau, mm ni miongoni mwa waliositishiwa ajira, nilijarbu kutafuta vijana ambao wangeweza kufanya harakati za kurudi kazin, lkn baadae tulikomaa, wakarud wenye chk # peke yake na majembe yangu tuliyokuwa tupambana nayo, wengi wamerud, isipokuwa kundi nililo nalo hili amabalo naangukia wasiokuwa na chk #, wengi wao ni waoga na hawajiamin, na halina nguvu...

hivyo natafuta kundi lingne ambalo nitapata watu wenye uwezo w kujenga hoja na kujiamini tukaanza tena hizi haraka, hasa harakati za kuelekea ikulu,,,
kwa ambaye yuko tayar naomba aniinbox..
 
Back
Top Bottom