kama kichwa cha habari kinavyojieleza wewe umeshaona kujiajiri hauwezi serikali yako kila siku inakupiga chenga na matamko na mikanusho. kuandamana ni haki yako ya kimsingi;; kuliko kuzungumzaa ovyoo ovyooo tuu kwenye mitandao ya kijamii (in pogba voice) huenda hii serikali sikivu ikawasikia.