Nawashauri vijana 15-30 ambao hawana kazi jifunze ufundi wa pikipiki

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Huwa sina maneno mengi sana ila kwa vijana na graduate wote ambao wapo tu hawana mishe amini nakuambia utakulipa sana hii ni kwa mikoa yote, tafuta fundi mzuri utaishi popote pale.

Asante.
 
Kila kitu n interest Kama huna interest na kitu hata ufanyaje
Kuki afford n ngumu Sana
Whatever itakua inalipa au Ina hasara....
 
95% ya binadamu wanafanya kazi wasizozipenda...yani imetokea tu MTU akawa mwalimu,doctor au banker BT tunafanya na maisha yanaenda...kwa ufundi ukianza tu ukaiva. Ukafungua kijiwe pesa ikaanza kuingia utapenda tu...so km una mishe ya kufanya sio mbaya BT ufundi unalipa huwezi kosa 50000 au 60000 km fundi mzuri...mtaji ukikua unafungua duka la spare unajiuzia
 
Vijana wote 15-30 yrs wajifunze ufundi wa pkpk, division of labor ikoje hapo?
Soma vizuri my thread MTU hana mishe yupo tu anafanyaje? So div of labour muhimu cz ni ushauri tu take it or leave it
 
Ushauri mzuri,sema hao graduates wameshao na kuolewa,sasa wanawaza vibarua vya kuwapatia hela kwa siku,siyo tena kujifunza,maana akianza kwenda kwenye mazoezi hayo,anakuwa halipwi
 
Back
Top Bottom